| EntryNo: |
91 |
| Date: |
Sunday 07:24 17.06.2007 |
|
|
kassim said |
|
|
|
Juhudi zako zinaonekana mh rais,hongera sana. |
|
|
|
|
| EntryNo: |
90 |
| Date: |
Saturday 12:11 16.06.2007 |
|
|
Twinomjuni N. Kaungya |
|
|
|
Its a high pleasure your excellence sir for the challenge you have set to your people to bring about their Questions,Ideas,Suggestions and,opinions from all over the country!!
May the most high lord bless the Out Come of your site." Mungu ibariki Afrika; Mungu ibariki Tanzania" |
|
|
|
|
| EntryNo: |
89 |
| Date: |
Saturday 11:29 16.06.2007 |
|
|
Ahmed Jeizan |
|
|
|
Natumai Ni Kweli mheshimiwa Rais Wa jamhuri yetu Ya muungano Wa Tanzania Atakuwa Akiperusi Webu Hii Kama alivyoitambulisha Kwa Wananchi Wote Walio Nyuma Ya Oungozi Wake Pamoja Na Baraza lake La Mawaziri Pamoja Na Mengi lakini Haya machache namuombea Rais Wetu Afya Njema Na Mafanikio Katika Kazi Ya Kubwa Ya Kuipeleka Nchi Yetu Katika Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania Hongera kwa Kuanzisha Web Yako ili Iwe Fursa Kwetu Sisi Wananchi Kuweza Kuwasiliana na Wewe
Kila La Kheri Asante |
|
|
|
|
| EntryNo: |
88 |
| Date: |
Saturday 05:07 16.06.2007 |
|
|
Kaare |
|
|
|
Well done Mr. Kikwete keep up and may all your team mates give support.
once again many congrats. |
|
|
|
|
| EntryNo: |
87 |
| Date: |
Friday 04:08 15.06.2007 |
|
|
marwa mwita |
|
|
|
|
|
|
|
|
| EntryNo: |
86 |
| Date: |
Friday 03:22 15.06.2007 |
|
|
caritas aloyce |
|
|
|
Nanapenda kumshukuru Rais wetu mpendwa kwa tovuti hii, kwani inatupa nafasi ya kuchangia ktk kuboresha maendeleo ya nchi yetu nzuri TANZANIA.(NADHANI NI NCHI MFANO KWA JAMBO HILI)
Hata kwa sisi watanzania tulio nje ya nchi tutaweza kufuatilia maendeleo na kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha masuala mbalimbali katika serikali,uchumi na jamii kwa ujumla.
Namtakia Rais wetu afya njema,ulinzi wa Mungu wetu,hekima,busara na uvumilivu mkubwa katika uongozi wake. |
|
|
|
|
| EntryNo: |
85 |
| Date: |
Thursday 12:28 14.06.2007 |
|
|
adil naji |
|
|
|
kama mtanzania nimefurahishwa sana na msimamo wa raisi wetu, kipenzi chetu, ndugu yetu na pia baba yetu mheshimiwa j.kikwete kwa kutaka kuwa karibu nasi watanzania ili ajue shida zetu kwa ukaribu na kututafutia namna ya kutusaidia..
kama ni kupiga vita umasikini ni suala ambalo raisi wetu amelivalia njuga.. sijawahi kusikia serikali inawapa pesa wananchi ili wajikwamue... lakini kikwete ameonyesha kutujali kiasi hicho... mungu akupe umri na afya... akulinde na maadui wasiotaka maendeleo ya taifa letu.. huu si muda wa kupiga siasa kama ulivosema ni muda wa kugurudumisha maendeleo ya nchi... tunakupenda na tuko pamoja raisi wetu mpendwa!! |
|
|
|
|
| EntryNo: |
84 |
| Date: |
Thursday 07:45 14.06.2007 |
|
|
Steven P. |
|
|
|
I appreciate your leadership kaza uzi Baba,be very careful na cabinet yako mkuu,itakuharibia jina,hakuna kumuonea aibu mtu koa moja weka mtu pembeni weka mtu mwenye kuweza kazi watanzania sasa hivi hatutaki blaablaa tunataka kazi.Keep it up. |
|
|
|
|
| EntryNo: |
83 |
| Date: |
Thursday 07:29 14.06.2007 |
|
|
Steven P. |
|
|
|
I appreciate your leadership strongly YOU MR.President and your Prime minister MR.Lowasa BUT be careful of your cabinet sio siri watakuharibia jina,kaza uzi hakuna kumuonea aibu mtu kosa moja weka mtu pembeni weka mtu anaefaa.Keep it up i like your style of leadership. |
|
|
|
|
| EntryNo: |
82 |
| Date: |
Thursday 03:41 14.06.2007 |
|
|
caritas aloyce |
|
|
|
Mheshimiwa Rais,
Wengi wetu tumefurahishwa na jambo hili ambalo sidhani linatokea sehemu nyingi ulimwenguni.
Mtandao huu utasaidia hata sisi tulio nje ya nchi kwa muda(seychelles) kuweza kujua maoni ya watu mbalimbali kuhusu nchi yetu nzuri ya Tanzania( kweli ni nchi nzuri kwa mengi)na pale inapobidi kutoa ushauri utakaochangia kwenye UTUMISHI SERIKALINI, maendeleo ya jamii na uchumi wa taifa
MWENYEZI MUNGU akulinde, akupe afya njema,uvumilivu,hekima na busara katika kuliongoza taifa letu. busarakiuchumi,kijamiikwa na kushauripale inapobidi kwa uboreshaji zaidifuakwa wakati huu niko seychelles nikitumikiaserikali hi kwa sasa ni k |
|
|
|
|