Yaliyomo
Search


Advanced Search
 

Aika Swai, New York, USA
"Sisi tunaoishi nje tunawaomba kina baba na mama, kaka na dada mumpe kura zenu Kikwete na Karume. Maisha bora kwa kila mtanzania."

 »  Home  »  Habari Mpya  »  BARAZA LA MAWAZIRI
BARAZA LA MAWAZIRI
By Mike Mushi | Published  01/4/2006 | Habari Mpya |

A. MAWAZIRI

OFISI YA RAIS


Waziri wa Nchi – Menejimenti ya Utumishi wa Umma

1. Mheshimiwa Hawa Abdulrahman Ghasia (Mb)

Wizara ya Nchi – Utawala Bora

2. Mheshimiwa Philip Sang’ka Marmo (Mb)

Wizara ya Nchi – Siasa na Uhusiano wa Jamii

3. Mheshimiwa Kingunge Ngombale Mwiru (Mb)

OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri wa Nchi – Muungano

4. Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb)

Wizara ya Nchi – Mazingira

5. Mheshimiwa Prof. Mark James Mwandosya (Mb)

OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri wa Nchi – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

6. Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda (Mb)

Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge)

7. Mheshimiwa Juma Jamaldin Akukweti (Mb)

WIZARA ZINAZOJITEGEMEA

Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

8. Mheshimiwa Dkt. Asha-Rose Mtengeti Migiro (Mb)

Ushirikiano wa Afrika Mashariki

9. Mheshimiwa Andrew John Chenge (Mb)

Fedha

10. Mheshimiwa Zakia Hamdani Meghji (Mb)

Mipango, Uchumi na Uwezeshaji

11. Mheshimiwa Dkt. Juma Alifa Ngasongwa (Mb)

Viwanda, Biashara na Masoko

12. Mheshimiwa Nazir Mustafa Karamagi (Mb)


Kilimo, Chakula na Ushirika

13. Mheshimiwa Joseph James Mungai (Mb)

Maliasili na Utalii

14. Mheshimiwa Anthony Mwandu Diallo (Mb)

Maji

15. Mheshimiwa Stephen Masatu Wassira (Mb)

Nishati na Madini

16. Mheshimiwa Dkt. Ibrahim Said Msabaha (Mb)

Miundombinu

17. Mheshimiwa Basil Pesambili Mramba (Mb)

Afya na Ustawi na Jamii

18. Mheshimiwa Prof. David Homeli Mwakyusa (Mb)

Elimu na Mafunzo ya Ufundi

19. Mheshimiwa Margareth Simwanza Sitta (Mb)

Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia

20. Mheshimiwa Prof. Peter Mahmoud Msolla (Mb)

Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana

21. Mheshimiwa Prof. Jumanne Abdallah Maghembe (Mb)

Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

22. Mheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli (Mb)

Habari, Utamaduni na Michezo

23. Mheshimiwa Muhammed Seif Khatib (Mb)

Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

24. Mheshimiwa Prof. Juma Athumani Kapuya (Mb)

Usalama wa Raia

25. Mheshimiwa Harith Bakari Mwapachu (Mb)

Mambo ya Ndani

26.Mheshimiwa Capt. John Zefania Chiligati (Mb)

Katiba na Sheria

27. Mheshimiwa Dkt. Mary Michael Nagu (Mb)

Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto

28. Mheshimiwa Sofia Mnyambi Simba (Mb)

Maendeleo ya Mifugo

29. Mheshimiwa Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa (Mb)

B. NAIBU MAWAZIRI

OFISI YA WAZIRI MKUU

Maafa na Kampeni Dhidi ya Ukimwi

30. Mheshimiwa Dkt. Luka Jelas Siyame (Mb)

Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

31. Mheshimiwa Celina Ompeshi Kombani (Mb)


WIZARA ZINAZOJITEGEMEA

Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

32. Mheshimiwa Balozi Seif Ali Iddi (Mb)

33. Mheshimiwa Dkt. Cyril August Chami (Mb)

Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki

34. Mheshimiwa Dr. Diodorus Buberwa Kamala (Mb)

Fedha

35. Mheshimiwa Abdisalaam Issa Khatib (Mb)

36. Mheshimiwa Mustafa Haidi Mkulo (Mb)

Mipango, Uchumi na Uwezeshaji

37. Mheshimiwa Salome Joseph Mbatia (Mb)

Viwanda, Biashara na Masoko

38. Mheshimiwa Dkt. David Mathayo David (Mb)

Kilimo, Chakula na Ushirika

39. Mheshimiwa Christopher Kajoro Chizza (Mb)

40. Mheshimiwa Hezekiah Ndahani Chibulunje (Mb)

Nishati na Madini

41. Mheshimiwa Lawrence Kego Masha (Mb)

Miundombinu

42. Mheshimiwa Dkt. Maua Abeid Daftari (Mb)

43. Mheshimiwa Dkt. Milton Makongoro Mahanga (Mb)

Maji

44. Mheshimiwa Shamsa Selengia Mwangunga (Mb)

Afya na Ustawi wa Jamii

45. Mheshimiwa Dkt. Aisha Omar Kigoda (Mb)

Elimu na Mafunzo ya Ufundi

46. Mheshimiwa Mwantumu Bakari Mahiza (Mb)

47. Mheshimiwa Ludovick John Mwananzila (Mb)

Elimu ya Juu, Sayansi na Tekinolojia

48. Mheshimiwa Gaudensia Mugosi Kabaka (Mb)

Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana

Vijana na Kazi

49. Mheshimiwa Jeremia Solomon Sumari (Mb)

Ajira

50. Mheshimiwa Daniel Nicodem Nsanzungwako (Mb)

Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

51. Mheshimiwa Rita Louise Mlaki (Mb)

Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto

52. Mheshimiwa Dkt. Batilda Salha Burian (Mb)

Usalama wa Raia

53. Mheshimiwa Mohamed Aboud (Mb)

Mambo ya Ndani

54. Mheshimiwa Bernard Kamillius Membe (Mb)

Maendeleo ya Mifugo

55. Mheshimiwa Dkt. Charles Ogessa Mlingwa (Mb)1

Maliasili na Utalii

56. Mheshimiwa Zabein Muhaji Mhita (Mb)

Habari, Utamaduni na Michezo

57. Mheshimiwa Dkt. Emmanuel John Nchimbi (Mb)
 

How would you rate the quality of this article?
1 2 3 4 5
Poor Excellent
Tell us why you rated this way (optional):

Send to Author Post on Site

Comments
  • Comment #1 (Posted by an unknown user)
    Rating
    I counted 21 (Dr/Profs). Good job JK.
     
  • Comment #2 (Posted by an unknown user)
    Rating
    wizara mmepanga vizuri lakini mh john pombe magufuli alifaa sana kuendelea na wizara yake ya mwanzo.
     
Submit Comment


Article Options
Popular Articles
  1. BARAZA LA MAWAZIRI
  2. Kikwete Katika Kampeni Mtwara Leo
  3. Jakaya Kikwete: Muasisi wa kasi, nguvu na ari mpya
  4. Kikwete katika kampeni Lindi
  5. Nawataka maprofesa hawa, nipeni, nitawatumia
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Mike Mushi
  2. Epson Luhwago
  3. charles nzo
  4. Eliakim T. Mwakyanjala
  5. mussa juma
No popular authors found.
 

www.ccmtz.org

Click hapa kuipa kura yako ya ndio kwa CCM.