
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete, wakipunga mkono kusalimia wakazi wa eneo la Kilwa Kivinje mkoani Lindi katika moja ya mikutano yake ya kampeni juzi. Jana alihutubia wananchi wa Lindi mjini katika Uwanja wa Ilulu. (Picha na Mpiga picha wetu)