Aika Swai, New York, USA
"Sisi tunaoishi nje tunawaomba kina baba na mama, kaka na dada mumpe kura zenu
Kikwete na Karume. Maisha bora kwa kila mtanzania."
Jakaya Kikwete, akihutubia wakazi wa mkoa wa Mtwara
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete, akihutubia wakazi wa mkoa wa Mtwara katika Uwanja wa Umoja alipowasili mkoani humo leo. Kesho anatembelea Wilayani Newala.(picha na mpiga picha wetu)
Comment #1
(Posted by an unknown user) Rating
Kwa kweli inaonyesha ni jinsi gani mgombea huyu anakubalika kwa wananchi
Comment #2
(Posted by an unknown user) Rating
As we get the latest news !!!
Comment #3
(Posted by hadj) Rating
kikwete is the best your the president of our time have charisma just like the late Nyerere we adore you
Comment #4
(Posted by amosi---ursino street no 54) Rating
this is the right candidate for right time huyu siyo mgeni vijijini anaonyesha anavijua pamoja na watu waishio huko anawajua vizuri ninakuombea usibadilike kuwa wa kimataifa sana. Mungu akubariki ushinde kwa kimbunga.
Comment #5
(Posted by SABAH (STRANGER)) Rating
YAANI JK UNAKUBALIKA...FROM YOUNGSTERS TO ELDERLY; U HAVE THE POWER OF TSUNAMI THIS IS WHAT TANZANIANS HAVE ALWAYS WANTED;PRESIDENT OF THEIR CHOICE..U GO BOY CCM OYEEEEEEEEEEE
Comment #6
(Posted by moremi marwa) Rating
I think your the best among the competirors we hope and trust God will assist you to take this country to another level.
Comment #7
(Posted by Douglas Makonya) Rating
Talent is what you have and effort is what you give. Keep it up Ushindi ni wako
Comment #8
(Posted by Chilumba F.) Rating
While others are pointing fingers to each other Kikwete clear your way. When they think of setling down you will be in the IKULU already. You are the man of our times.
Comment #9
(Posted by an unknown user) Rating
JK will take this country to the next level
Comment #10
(Posted by kate) Rating
Kampeni za Ndugu yetu Kikwete nyota ya CCM zinaendelea vizuri sana!! Mvuto wake kwa wananchi wa rika zote ni wa hali ya juu na mikutano yake ina mahudhurio makubwa sana haijapata kutokea hali kama hii kwa muda mrefu!! Watu wanaipenda CCM lakini lazima tukubali Kikwete ni nahodha wa CCM anayekubalika bila shaka yeyote kijana huyu maridadi haiba yake na mvuto wake wa sura na akili zake na busara alivyojaliwa kutunukiwa na Mwenyezi Mungu ataivusha CCM katika kinyang'anyiro cha Uraisi hapa Tanzania!!
Mungu MLINDE NA KUMBARIKI JAKAYA MRISHO KIKWETE MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE WOTECCM IDUMU!!
Comment #11
(Posted by Shafi K. Abeid) Rating
He won CCM Candidacy by Tsunami style when his votes appeared to be additive of the rest of his contestants. On this race it will be geometrically multiplicative. God bless JK God bless Tanzanians.
Comment #12
(Posted by an unknown user) Rating
You are the father of new generation. Soldier who fight evils that have put our country in backward position With KIKWETE all will be history.
Comment #13
(Posted by peace) Rating
JK - YES - KIKWETE IS GOD CHOSEN CANDIDATE - YAANI WE ACHA TU!!! NDIE RAISI TUNAYEMTAKA - ANAYEJUA KUJICHANGANYA - HANA MAKUU MTOTO WA WATU - WE BELIEVE YOU WILL NEVER LET TANZANIANS DOWN WHEN IN IKULU - GOD BLESS YOU AND WE PRAY FOR YOU!!!!!!!!!!!
Comment #14
(Posted by Ole E.K.M) Rating
its was difficult to know if this guys will agree on the truth but thanks lord it is UWAZI NA UKWELI hours so you made it and their now with us GOD BLESS U on your way to WHITE HOUSE and hope that we are going to meet what was left behind and create the new ones for the sake of becoming as KOREANS in the last 30yrs you gonna make it we are with you keep it up when you come to ARUSHA we will come to say some words to u our NEXT PRESIDENT WIN WIN WIN WE ARE THE WINNERS
Comment #15
(Posted by an unknown user) Rating
I rated the quality of the article this way because of the clarity of its pictures and the vision behind it.
Comment #16
(Posted by winas) Rating
Tafusiri ya jina la kikwete kama ilivyo tafusiriwa na mtaalamu mmoja kule jimbo la mufindi ndinyo ilinyo huyu jamaa ni hatari. Opposition mtazidi kuoppose kama kawida kila kizuri na cha kweli jibu lenu NO!!!!!!. Kikwete ikulu nafikiri ni size yake compered to the other nine.
Comment #17
(Posted by JK) Rating
Iwill never let you down vote for me
JK
Comment #18
(Posted by Zawadi Thomas) Rating
Ni kweli kabisa Kikwete ndiye mwenyewe kwa nini ubishetunaamini atatuinua sana na hasa siye vijana na wanawake
Comment #19
(Posted by an unknown user) Rating
I am Ismail A.Suleiman from Tanzania but now I am in Finland for the work."Big up kwa sana" for the work your doing for our party CCM.This what we need Tanzanian to look like.
Comment #20
(Posted by rosekisses) Rating
Nakufagilia sana JK you know u have this style and charm of ur own.
Najua kura utapata ila lazima ukae uptite na committed kikwelikweli.
Gone are the days ov a passive audience you are now amidst an audience which is so verrry active and which will hold you accountable one day. You don.t want to looose any of the trust they have on you do you
Then put that energy into whatever you rae up to
Jah Bless
kisses
Comment #21
(Posted by Pastor T.N) Rating
Really Jakaya Kikwete is a prophetic man of God like David in the Bible. Loved by God and by human being.
Let us give chance to Tanzania maybe for Africa like The most man I do love in the african continent MUheshimiwa Ayati Mwalimu JULIS NYERERE.
Time will tell.
God raises Africa
Think about Dem. Rep. of Congo
Bless Tanzania Providential country
Comment #22
(Posted by FARAJA E.) Rating
I sugest that kampeni za CCM should be shown on TV's.
Comment #23
(Posted by gmoi) Rating
kura yangu nakupati a man wangu
Comment #24
(Posted by Yunus Said Malik) Rating
Although I'm not a CCM suporter I think KIKWETE is the best of all candidates. 'welcome to the presidency of Tanzania'. Really you will kick! We folks know it very ell.
Comment #25
(Posted by an unknown user) Rating
Excellent job done ! WHY Cos it shows how brilliant the MUSHI family could think so fast and create such a website to Tanzanians (who r in TZ and those abroad) who are keen 2 know wat is going. UNAJUA KITU " BINADAMU HAKOSI CHA KUSEMA".HIVYO TEGEMEENI WEBSITE YENU ITAPATA WATU WAKUCHONGALAKINI NAWAOMBENI MFUNGE MASIKIO YENU NA SUPER GLUE. ALL THE BEST NA KIDUMU CHA CHA MAPINDUZI.CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE TILL JESUS COMES AGAIN. AMEN.
Comment #26
(Posted by Andrew Vincent Mtili) Rating
Jakaya Mrisho Kikwete ni ndugu yetu anakubalika ni mtanzania mwenzetu mtu mwenye uchungu na Taifa letu kama alivyokuwa Mwalimu Nyerere.Naweza kumwita mtoto wa wa Nyerere kisiasa. Hakika Kikwete ameiva kisiasa na kiitikadi.
Comment #27
(Posted by kihongosi WAL) Rating
Kikwete has really impressed me for his speeches and his ability to express issues of the interests to the society he expects to lead soon.I am sure we are going to put him into power by majority vote.
Comment #28
(Posted by an unknown user) Rating
No proper reason just ranked that way.
Comment #29
(Posted by Jovina Faustine) Rating
Kwakweli Mh. K.M. Kikwete anafaa kuchukua urais wa nchi hii kwanza ukiangalia historia yake inaonyesha ni mwana uchumi aliyekomaa na mtu ambaye ana uzoefu katika uongozi mbali mbali hivyo nina uhakika kama atakuwa rais ataendeleza mazuri ambayo tayari rais Mkapa alikuwa anafanya. Mungu Ibarik Tanzania Mungu mbariki Kikwete. CCM Oyeeee!!!
Comment #30
(Posted by an unknown user) Rating
Mh. Kikwete ni mtu mwenye uchungu na maisha ya kila mtanzania hivyo nini uhakika akichukua madaraka ya nchi hii kila mtazania atakuwa na maisha bora KURA KWA KIKWETE
Comment #31
(Posted by anthony malisa) Rating
anaweza kuwa rais chama cha mapinduzi kina sera nzuri zinazotekelezeka kikwete atasimami sera hizo zitakazo weza kuondoa umaikini ujinga na maradhi kwa ari mpya nguvu mpya na kasi mpya.kikwete anapendwa na watanzania wote wenye vyama na wasiona vyama
Comment #32
(Posted by Kamwenda G.J) Rating
Kikwete ni Bomba sio Mchezo: Ari mpya; Kasi Mpya na Nguvu mpya
We needn't say more. He is the 4th Awamu president
Comment #33
(Posted by an unknown user) Rating
kikwete anakubalika tumpe kura ya ndiyo.
Comment #34
(Posted by an unknown user) Rating
Necause it is pleasant and of high quality.
Comment #35
(Posted by I.A. Mwaipaja) Rating
Sio siri kuwa Nd. Jakaya Kikwete amekubalika na majority of citizens and he stands a very very big chance of winning. Ila naomba kumpa changamoto tu kuwa inabidi ajitahidi sana akipata urais ili awaridhishe wananchi sababu kumpenda kwao kunaonesha jinsi gani wana imani nae. Asituangushe wanachi especially wa hali ya chini na tunamwombea kwa Mungu ashinde - KIKWETE OYEEEEEEEEE!!!
NB: Mimi binafsi sioni kama kuna chama kingine chenye akili kama CCM wengine naona wanapiga bla bla tuu.
Comment #36
(Posted by an unknown user) Rating
its the best ever
Comment #37
(Posted by an unknown user) Rating
I can't express myself but it is excellent in everything.
Regards
Comment #38
(Posted by an unknown user) Rating
cause is Kikwete