Yaliyomo
Search


Advanced Search
 

Aika Swai, New York, USA
"Sisi tunaoishi nje tunawaomba kina baba na mama, kaka na dada mumpe kura zenu Kikwete na Karume. Maisha bora kwa kila mtanzania."

 »  Home  »  Authors  »  Epson Luhwago
Epson Luhwago
Articles by this Author
» Wananchi wana imani na Kikwete kutokana na uchapakazi wake kitaifa na kimataifa
By Epson Luhwago | Published 08/23/2005 | Toleo Maalum |
*Ni mtendaji asiyelea uzembe

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Jakaya Kikwete, ndiye atakayepeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kampeni za uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika makala hii, Mwandishi Wetu EPSON LUHWAGO anachambua kwa undani uwezo wa mgombea huyo katika medani ya uongozi kitaifa na kimataifa.
» Msafara wa Kikwete wavuta wananchi
By Epson Luhwago | Published 08/23/2005 | Habari Mpya |
Wamiminika barabarani kutaka awasalimu
Wengi warejea CCM
Na Epson Luhwago, Kilwa Masoko
KUTOKANA na mvuto alionao mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Jakaya Kikwete, wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kibiti jana walizuia msafara wake kwa nguvu na kumsomea risala kwamba vijana wote wanaunga mkono CCM na watawapigia kura wagombea wake.
» Upepo wa Kikwete wazoa wengi Mtwara
By Epson Luhwago | Published 08/24/2005 | Habari Mpya |
MAENEO mbalimbali ya mkoa wa Mtwara aliyopita mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, jana yalizizima kufuatia kujitokeza watu kwa wingi kumsikiliza katika mikutano yake ya kampeni.
Popular Articles
  1. BARAZA LA MAWAZIRI
  2. Kikwete Katika Kampeni Mtwara Leo
  3. Jakaya Kikwete: Muasisi wa kasi, nguvu na ari mpya
  4. Kikwete katika kampeni Lindi
  5. Nawataka maprofesa hawa, nipeni, nitawatumia
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Mike Mushi
  2. Epson Luhwago
  3. charles nzo
  4. Eliakim T. Mwakyanjala
  5. mussa juma
No popular authors found.
 

www.ccmtz.org

Click hapa kuipa kura yako ya ndio kwa CCM.