Yaliyomo
Search


Advanced Search
 

Aika Swai, New York, USA
"Sisi tunaoishi nje tunawaomba kina baba na mama, kaka na dada mumpe kura zenu Kikwete na Karume. Maisha bora kwa kila mtanzania."

 »  Home  »  Kamati ya Uchaguzi CCM
Kamati ya Uchaguzi CCM
» KAMATI YA KURATIBU KAMPENI ZA CCM KITAIFA
By Mike Mushi | Published 08/29/2005 | Kamati ya Uchaguzi CCM |

KAMATI YA KURATIBU KAMPENI ZA CCM KITAIFA

Kwa mujibu wa ibara ndogo ya 4 ya ibara ya 10 ya Katiba ya CCM (Toleo la Mei, 2005), moja kati ya kazi za Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM ni kusimamia Kampeni za Uchaguzi za Chama.

Kwa kuzingatia kuwa Kamati Kuu hufanya kazi zake kwa vikao ambavyo huchukua muda kufanyika, imeamua kuunda Kamati ya Kuratibu Kampeni za CCM Kitaifa ambayo itafanya kazi za siku kwa siku kwa niaba ya Kamati Kuu kwa kipindi chote cha Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005.

Katika kikao chake cha tarehe 29 Juni, 2005, Kamati Kuu iliwateua wafuatao kuwa wajumbe wa Kamati hiyo:-

1 Ndugu Philip J. Mangula Mwenyekiti
2 Brig. Gen (Mst.) Hassan Ngwilizi  Mjumbe
3 Ndugu Saleh Ramadhan Ferouz Mjumbe
4 Ndugu Salome Joseph Mbatia Mjumbe
5 Ndugu Jackson Msome Mjumbe
6 Ndugu Omar Ramadhan Mapuri Mjumbe
7 Ndugu Kingunge NgombaleMwiru Mjumbe
8 Ndugu Abdulrahman Kinana Mjumbe
9 Ndugu Dr. Emmanuel Nchimbi Mjumbe
10 Ndugu Samia Suluhu Hassan Mjumbe
11 Ndugu Anna Abdallah Mjumbe
12 Ndugu Ali Ameir Mohamed Mjumbe
13 Ndugu Rostam Aziz Mjumbe
14 Ndugu Mansoor Yusuf Himid  Mjumbe
15 Ndugu Mohamed Aboud Mohamed Mjumbe
16 Ndugu Edward Lowasa Mjumbe
17 Ndugu Peter Kisumo Mjumbe
18 Ndugu Ferdinand Ruhinda Mjumbe
19 Ndugu Mohamed Abdulaziz  Mjumbe
20 Ndugu Leila Nassor Khamis Mjumbe
21 Ndugu Yusuf Mushi  Mjumbe
22 Ndugu Sam Mapande Mjumbe



Popular Articles
  1. BARAZA LA MAWAZIRI
  2. Kikwete Katika Kampeni Mtwara Leo
  3. Jakaya Kikwete: Muasisi wa kasi, nguvu na ari mpya
  4. Kikwete katika kampeni Lindi
  5. Nawataka maprofesa hawa, nipeni, nitawatumia
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Mike Mushi
  2. Epson Luhwago
  3. charles nzo
  4. Eliakim T. Mwakyanjala
  5. mussa juma
No popular authors found.
 

www.ccmtz.org

Click hapa kuipa kura yako ya ndio kwa CCM.