Aika Swai, New York, USA
"Sisi tunaoishi nje tunawaomba kina baba na mama, kaka na dada mumpe kura zenu
Kikwete na Karume. Maisha bora kwa kila mtanzania."
Tanzanians appear to have been waiting for this day to arrive. And here it is. JK's day has finally come. All Tanzanians seem to welcome his nomination as the best presidential choice for all. In the same vein the whole selection process that singled him out from eleven aspirants has ironically shown a sign of the country's political maturity.
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Jakaya Kikwete, ndiye atakayepeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kampeni za uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika makala hii, Mwandishi Wetu EPSON LUHWAGO anachambua kwa undani uwezo wa mgombea huyo katika medani ya uongozi kitaifa na kimataifa.