 |
|
 |
 |
|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk Ali Mohamed
Shein akiagana na Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Yu Qintai
walipokutana uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalim Nyerere , wakati
alipokuwa akielekea Nchini Uingereza kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa
kawaida wa Afya yake.Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bibi Ruth
Mollel. |
|
|
 |
|