Articles by this Author
(Page 1 of 26) « Back |
1 |
2 |
3 |
4 |
5 |
Next »
»
Rais Kuhutubia siku ya ukimwi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya kitaifa ya siku ya ukimwi Duniani yatakayofanyika mkoani Tabora kesho (1 Desemba, 2007) na pia kutumia siku hiyo kuzungumza na wananchi kama ilivyo ada kwa Rais kuzungumza na wananchi kila mwisho wa mwezi.
»
Hatukubali Pwani ibaki nyuma – Lowassa
WAZIRI Mkuu Edward Lowassa amesema kuwa haikubaliki mkoa wa Pwani uendelee
kubaki nyuma kiuchumi na kimaendeleo nchini na kwamba bidii ya kufanya kazi na
kilimo cha kisasa kitumike kubadili hali hiyo.
»
Shein ahutubia mkutano Geneva na kutoa changamoto kwa mashirika ya kimataifa
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein ameyapa changamoto mashirika ya kimataifa kuongeza kasi ya kuzisaidia nchi za Afrika katika kutokomeza magonjwa ambayo hayajapewa kipaumbele katika nchi za joto ili siku moja yabaki kuwa historia.
»
JK: Katu Tanzania siasa isichanganywe na dini
RAIS Jakaya Kikwete amesisitiza kwamba Tanzania lazima iendelee kujiepusha kuchanganya dini na siasa kwa gharama yoyote.
»
JK counsels US-based Dar basketballer
PRESIDENT Jakaya Kikwete on Monday had audience with US-based Tanzanian basketball player Hasheem Thabeet and advised the towering 19-year-old to put a lot of effort both in education and sports for his own good.
»
JK for global religious bliss
PRESIDENT Jakaya Kikwete has called for inter- religious harmony in the world, saying that intoleration is fuelled by ignorance of what other faiths stand for.
»
US university hails Kikwete
THE New York University has described President Jakaya Kikwete as a remarkable man and a great leader.
It also described him as somebody who is very forward looking, articulate and one who really cares about his country.
»
NYSE Honors Presidents of Liberia, Mozambique, and Tanzania
The New York Stock Exchange (NYSE) and The Corporate Council on Africa (CCA) will co-host a unique program honoring three African Heads of State at the Exchange's historic Wall Street headquarters on Friday, September 22, 2006.
»
Africans should unite for Economic benefits
King Mswati III of Swaziland has said that African countries could do a lot more through regional blocks like SADC in improving the living standards of their people by enchancing the exisiting economic and social cooperation.
»
Preserve Meaningful African Cultural Practices
African societies should preserve and maintain good cultural practices and traditions that are instrumental in shaping the youths into becoming responsible citizens who are able to contribute effectively into the development of their respective nations.
(Page 1 of 26) « Back |
1 |
2 |
3 |
4 |
5 |
Next »