Guestbook
Tanzania, is a country on the east coast of east Africa.
JakayaKikwete.com
 »  Home  »  Authors  »  Ikulu Press
Ikulu Press
Articles by this Author
(Page 1 of 2)   « Back | 1 | 2 | Next »
» Hotuba ya Mama Kikwete kwenye maonyesho ya wasindikaji Mnazi mmoja
By Ikulu Press | Published 11/19/2007 | Habari Mpya | Unrated  printer version
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru  kwa kunipa heshima ya kuwa mgeni rasmi katika kufungua maonyesho haya ya usindikaji vyakula. Pili nawashukuru wanachama wa TAFOPA kwa kuandaa maonyesho haya muhimu.

» Taarifa ya Ziara ya Rais Lindi - Kilwa
By Ikulu Press | Published 11/19/2007 | Habari Mpya | Rating:  printer version
Serikali ya Awamu ya Nne inaendelea kutekeleza ahadi zake iliyozitoa wakati wa kampeni za Urais kama ilivyoainishwa na Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.

» Kikwete hakumshambulia Banduka
By Ikulu Press | Published 08/4/2007 | Habari Mpya | Unrated  printer version
Katika gazeti lako la leo  4/8/2007, ukurasa wa mbele kuna habari yenye kichwa  Kikwete amshambulia Banduka.

» Hotuba Ya Rais Kwenye Kilele Cha Sikukuu Ya Mei Mosi 2007
By Ikulu Press | Published 05/1/2007 | Habari Mpya , Speeches | Rating:  printer version
Hotuba Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Kwenye Kilele Cha Sikukuu Ya Wafanyakazi Duniani, Mwanza, Mei Mosi 2007

» Mama Salma Kikwete awapongeza wakinamama
By Ikulu Press | Published 04/19/2007 | Habari Mpya | Unrated  printer version
Mke wa  Rais Mama Salma Kikwete amesema uteuzi wa Dkt Asha- Rose Migiro na  Balozi Liberata Mulamula kushika nyadhifa za juu katika nyanja za kidiplomasia, kuwe changamoto kwa wanawake wengine hapa nchini kufanya vema katika shughuli zao mbalimbali

» Address By H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, At The Third East African Petroleum Conference
By Ikulu Press | Published 03/7/2007 | Habari Mpya | Rating:  printer version
Address By H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, The President Of The United Republic Of Tanzania, At The Third East African Petroleum Conference, Arusha,

» Mwamko wa Akina Mama Umepunguza vifo vya watoto - JK
By Ikulu Press | Published 02/2/2007 | Habari Mpya | Rating:  printer version
Mwamko mkubwa ambao unaonyeshwa na  wanawake  wa  kuwapeleka watoto wao wachanga kupata chanjo na huduma nyingine muhimu  za afya,ni moja ya sababu kubwa ambazo zimechangia katika kupungua kwa idadi ya vifo vya watoto chini ya miaka mitano. 

» Mazungumzo Kati ya CCM na CUF yataleta Utulivu wa Kisiasa - JK
By Ikulu Press | Published 01/31/2007 | Habari Mpya | Unrated  printer version
Rais Jakaya Kikwete amesema, anayo matumaini makubwa kuhusu mchakato wa  mazungumzo yanayoendelea kati ya Makatibu Wakuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) kuwa  yataleta utulivu wa kisiasa  nchini Tanzania. 

» Hotuba Ya Mheshimiwa Mama Salma Kikwete - UNICEF
By Ikulu Press | Published 12/12/2006 | Speeches | Rating:  printer version
HOTUBA YA MHESHIMIWA MAMA SALMA KIKWETE, MWENYEKITI WA TAASISI YA WANAWAKE NA MAENDELEO KATIKA UZINDUZI WA RIPOTI YA HALI YA WATOTO DUNIANI KWA MWAKA 2007 UNICEF, DAR ES SALAAM TAREHE 12 DESEMBA, 2006  

» Rais aenda DRC kuapishwa kwa kabila
By Ikulu Press | Published 12/4/2006 | Habari Mpya , Press Releases | Rating:  printer version
Rais Jakaya Kikwete kesho Jumanne, tarehe Desemba 05, 2006, anaondoka nchini kwenda Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo (DRC) ambako ataungana na viongozi wengine wapatao 14 katika sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa nchini hiyo, Joseph Kabila Kabanga.

(Page 1 of 2)   « Back | 1 | 2 | Next »