Articles by this Author
»
Serikali Kumbana Mkandarasi Anayekarabati Uwanja wa Mafia - JK
Rais Jakaya Kikwete amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Mafia kwamba, Serikali itamfuatilia na kumbana mkandarasi aliyepewa kazi ya kukarabati na kupanua njia ya kurukia na kutua ndege katika uwanja wa ndege wa Mafia.
»
Wanasiasa Tulumbane Vijiweni Lakini Tuhimize Maendeleo – JK
Raia Jakaya Kikwete amewasihi wanasiasa wenzake kuwahimizi wanachama wao kushiriki katika shughuli za maendeleo kwa faida ya Watanzania wote.
»
Msiwakate Ushuru Wa Pembejeo Wakulima Kama Hamuwapi Pembejeo Hizo – Kikwete
Rais Jakaya Kikwete amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Pwani Dkt Christine Ishengoma na wakuu wake wa wilaya kusimamia kwa karibu zoezi la ununuzi mkoani humo badala ya kuviachia vyama vya ushirika peke yake.
»
Msipokazania Elimu Mtabaki Kuwa Wavuvi Na Wakwezi-JK
Rais Jakaya Kikwete amechangia milioni mbili baada ya kufurahiswa na wananchi wa Kisiju Pwani kwa uamuzi wao wa kuachana na siasa na kisha kwa pamoja wakakusanya nguvu zao na kujenga shule ya sekondari za kata.
»
Mafuta Mbadala Kuipunguzia Gharama Serikali – Jk
Rais Jakaya Kikwete amesema uzalishaji wa mafuta mbadala (ethanol) utakapoanza, utaisaidia sana Serikali kupunguza gharama za kuagiza mafuta kutoka nje na hali kadhalika kupunguza gharama za bidhaa mbalimbali nchini.
»
Taarifa Mama Kikwete - Pwani
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ameahidi kutoa vitanda kwa ajili ya wanafunzi wa kike wanaosoma katika shule ya sekondari ya magindu iliyoko wilayani kibaha mkoani pwani.
»
'Mkijilipua' hamtapata pasi mpya ya kusafiria - JK
Rais Jakaya Kikwete amesema, serikali haitakuwa tayari kuwapatia pasi za kusafiria Watanzania ambao kwa makusudi waliamua kuziharibu pasi walizokuwa nazo kwa lengo la kuukata uraia wao na nchi yao.
»
AU yampongeza Ban Ki-Moon kwa uteuzi wa Migiro
Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, Bw. Alpha Konare, amempongeza na kumshukuru Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. Ban Ki- Moon kwa uamuzi wake wa kumteua mwana wa Afrika, Dk. Asha-Rozi Migiro kuwa Naibu wake.
»
JK kuhudhuria mkutano wa Kimataifa wa Maziwa Makuu.
Rais Jakaya Kikwete anaondoka nchini kesho mchana (13 Desemba, 2006) kwenda Nairobi, Kenya ambako atashiriki katika mkutano wa siku mbili wa Kimataifa Kuhusu Maziwa Makuu.
»
Tanzania kupeleka jeshi polisi 77 kulinda amani lebanon
* Wamo Wanawake 10
* Ni kufuatia ombi la Umoja wa Mataifa
* JK awaasa kuzingatia nidhamu