Guestbook
Tanzania, is a country on the east coast of east Africa.
JakayaKikwete.com
 »  Home  »  Authors  »  Penzi Nyamungumi
Penzi Nyamungumi
Articles by this Author
(Page 1 of 9)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »
» Shein aagana na Balozi wa China
By Penzi Nyamungumi | Published 09/27/2007 | Habari Mpya | Rating:  printer version
Kuongezeka kwa safari za kibiashara kati ya China na Tanzania kumeelezwa kuwa ni hatua muhimu katika kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili hizo

» Shein akutana na ujumbe wa Shirika la Tanzania Gatsbuy Trust
By Penzi Nyamungumi | Published 09/20/2007 | Habari Mpya | Rating:  printer version
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Ali Mohammed Shein amesema mpango wa Taifa wa kuimarisha sekta ya kilimo nchini umelenga katika kuleta mapinduzi katika sekta hiyo.

» Shein afungua tawi la Benki la CRDB
By Penzi Nyamungumi | Published 08/30/2007 | Habari Mpya | Unrated  printer version
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa serikali itaendelea kutekeleza Mpango wa Awamu ya Pili wa Mageuzi ya sekta ya fedha kwa lengo la kuwawezesha wananchi kutumia sekta ya fedha katika kujiletea maendeleo.

» Shein akutana na Imam Aga Khan
By Penzi Nyamungumi | Published 08/16/2007 | Habari Mpya | Rating:  printer version
Kiongozi wa kidini wa Jumuiya ya Ismailia duniani Imam Aga Khan ameleezea nia yake ya kutaka kujenga chuo kikuu kipya hapa nchini.
 

» Shein aagana na Balozi wa Misri
By Penzi Nyamungumi | Published 08/9/2007 | Habari Mpya | Unrated  printer version
Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo na mifugo umeelezwa kuwa ni moja ya hatua zinazopaswa kuchukuliwa katika kutekeleza dhamira ya kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Misri.

» Shein ahimiza utekelezaji wa programu ya kilimo
By Penzi Nyamungumi | Published 08/2/2007 | Habari Mpya | Rating:  printer version
Serikali imetoa changamoto kwa viongozi na wataalam wa kilimo na mifugo nchini kuitekeleza programu ya kuendeleza sekta ya kilimo kwa makini zaidi na kwa ufanisi mkubwa ili kuondoa umaskini miongoni mwa wakulima na wananchi kwa ujumla..

» Shein Ahimiza maadili ndani ya CCM
By Penzi Nyamungumi | Published 07/24/2007 | Habari Mpya | Rating:  printer version
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Ali Mohammed Shein ameilezea Wilaya ya Kinondoni kuwa mfano mzuri wa usimamizi na utekelezaji wa maadili ndani ya Chama cha Mapinduzi
 

» Shein aagana na Balozi wa Sudan
By Penzi Nyamungumi | Published 07/19/2007 | Habari Mpya | Unrated  printer version
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein ameupongeza uamuzi wa serikali ya Sudan wa kukubali kufanya mazungumzo ili kuharakisha mchakato wa kuleta amani katika eneo la Darfur.
 

» Shein aagana na mabalozi wa Nigeria na Sweeden
By Penzi Nyamungumi | Published 07/11/2007 | Habari Mpya | Rating:  printer version
Balozi wa Nigeria anayemaliza muda wake nchini amesema Afrika inapaswa kujivunia Tanzania kwa mchango wake katika kuhakikisha Bara la Afrika linakuwa huru na watu wake wanaishi kwa amani na utulivu.
 

» Shein mgeni rasmi kilele cha siku ya ushirika Mbeya
By Penzi Nyamungumi | Published 07/6/2007 | Habari Mpya | Unrated  printer version
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha maadhimisho ya wiki ya ushirika Duniani ambazo kitaifa zitafanyika mkoani Mbeya.

(Page 1 of 9)   « Back | 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | Next »