Articles by this Author
(Page 1 of 3) « Back |
1 |
2 |
3 |
Next »
»
Lowassa aagiza mikoa kufuatilia hazina fedha za ukarabati wa barabara
Waziri Mkuu Edward Lowassa ameitaka mikoa ambayo ilitengewa fedha za
dharura kwa ajili ya ukarabati wa barabara zilizoharibiwa na mvua nyingi
zilizonyesha kipindi cha vuli na masika kupeleka mikataba waliowekeana na
makandarasi wa barabara hizo wizara ya iweze kutoa fedha ili fedha ziweze
kutolewa
»
JK Kufuata hati za ardhi zilizopatikana kwa hila
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa hatasita kufuta hati za kiwanja ama shamba zitakazofika mezani kwake na kubainika kwamba umilikishaji wake umetokana na hila ama dhuluma
»
Rais Kikwete kutumia shilingi bilioni 1.7 kupeleka umeme Namanga na Longido
Serikali inakamilisha mpango wa kuvuta umeme kutoka nchini Kenya na kuupeleka katika miji midogo ya Namanga na Longido iliyoko katika wilaya mpya ya Longido mkoani Arusha ambao unatarajiwa kughalimu zaidi ya shilingi bilioni 1.7
»
Mradi wa kuokoa maisha ya wajawazito upo mbioni - JK
Rais Jakaya Kikwete ameeleza kuwa serikali yake inajiandaa kuanzisha mradi maalumu wa kupunguza vifo vya akinamama wajawazito vinavyotokea wakati wa kujifungua
»
Dk.Shein kuongoza matembezi ya CCM Arusha Jumapili
Makamu wa Rais,Dk Ali Mohammed Shein jumapili ijayo anatarajiwa kuongoza matembezi ya mshikamo mjini Arusha ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) kutimiza miaka 30 ya kuzaliwa kwake.
»
Lowassa asema baada ya Umeme sasa nguvu kuelekezwa katika elimu
Waziri Mkuu,Edward Lowassa amewataka wananchi hususani wenye uwezo mkuwa wa kiuchumi kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa shule za sekondari wakati serikali ikielekeza nguvu zake katika kuhakikisha kwamba walimu wa kutosha na wenye sifa wanapatikana katika kila shule ama madarasa mapya yanayoongezwa.
»
JK kufungua kongamano kubwa la utafutaji mafuta Afrika ya Mashariki
Jumuiya ya Afrika ya Mashariki imeandaa kongamano kubwa la mafuta litalofanyika mapema mwezi Machi mwakani mjini hapa na kuwashirikisha wadau zaidi ya 500 katika sekta ya mafuta duniani wakiwemo wawakilisha wa makampuni makubwa ya uchimbaji wa mafuta duniani
»
Lowassa awaagiza wahandisi kuisaidia nchi kuondokana na matumizi ya jengo la mkono na kutegemea mvua
Waziri Mkuu Mheshimiwa Edward Lowassa amewataka wahandishi nchini kutumia uwezo wao wa kitaaluma kupunguza umasikini kwa kuhakikisha kwamba jamii inaondokana na matumizi ya teknolojia isiyoleta tija katika uzalishaji na huduma mbalimbali zinaboreshwa.
»
Luteni Makamba aagizwa watumia rushwa waenguliwe katika uongozi
Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Luteni Mstaafu Yusuf Makamba amewaagiza viongozi wa ngazi zote ndani ya chama hicho kulifuta mara moja jina la mgombea yeyote ambaye atabainika kutumia rushwa katika kutafuta uongozi kwenye chaguzi mbalimbali za chama hizo zitakazoanza mapema mwaka ujao .
»
Luteni Makamba kufungua semina ya maandalizi ya uchaguzi Arusha
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Luteni Mstaafu Yusuf Makamba anaanza ziara ya siku tatu mkoani Arusha ambapo kesho anatarajiwa kufungua semina ya viongozi CCM wa mkoa wa Arusha kuhusu maandalizi ya chaguzi zijazo ndani ya chama hicho.
(Page 1 of 3) « Back |
1 |
2 |
3 |
Next »