Articles by this Author
(Page 1 of 11) « Back |
1 |
2 |
3 |
4 |
5 |
Next »
»
Serikali Yalipa Wakandarasi Bilioni 13 - Lowassa
HTML clipboardWAZIRI MKUU Edward Lowassa
amesema Serikali imetoa jumla ya sh. bilioni 13 ili kuwalipa wakandarasi wote
nchini ambao walikuwa na madai kwa vipindi mbalimbali.
»
Serikali Kumuenzi Losurutia - Lowassa
SERIKALI itayaendeleza mazuri yote yaliyonzishwa na aliyekuwa mbunge wa Kiteto, Benedict Losurutia ili kumuenzi mbunge huyo ambaye wakati wa uhai wake alipania kuwaendeleza wananchi wa Kiteto.
»
Watanzania Wamkuna Makamu wa Rais wa Cuba
MAKAMU WA RAIS wa Cuba, Bw. Esteban Lazo Hernandez amesema jambo kubwa ambalo limemgusa na anaondoka nalo kutoka Tanzania ni jitihada ya Watanzania kupambana na maisha.
»
Mama Lowassa azindua albamu, achangisha sh. milioni 14.9/-
MKE wa Waziri Mkuu, Mama Regina Lowassa leo (Jumapili, Desemba 16, 2007) amezindua albamu ya nyimbo za dini na kuchangisha sh. milioni 14.9 katika mnada wa kanda na CD za kwaya ya Mt. Don Bosco.
»
Mama Lowassa ataka wahitimu kuacha uvivu
MKE wa Waziri Mkuu, Mama Regina Lowassa amewataka wahitimu nchini kuacha uvivu na kuwa wabunifu kama wanataka kuwa na maisha mazuri.
»
Lowassa Ataka Hshauri Ziandae Mipango Endelevu
HTML clipboardWAZIRI MKUU Edward Lowassa amezitaka Halmashauri zote nchini kuandaa mipango yao
ya maendeleo kwa kutumia mipango jamii inayotokana na mchakato wa Mfumo wa Fursa
na Vikwazo kwa Maendeleo ili iwe endelevu.
»
Mapato Ya TRA Tanga Yaongezeka Kwa Asilimia 205
HTML clipboardMAPATO ya Serikali Kuu yanayokusanywa na Mamlaka ya Mapato (TRA) mkoani Tanga
yameongezeka kwa asilimia 205 tangu kufungwa kwa mita za kufunga mafuta
yanayoingia bandarini (Flowmeter) mwaka 2006.
»
Sitakuwa Na Msalie Mtume - Lowassa
HTML clipboardWAZIRI MKUU Edward
Lowassa ameonya kuwa hatakuwa na msalie mtume na kiongozi ambaye atashindwa
kusimamia ujenzi wa madarasa ili yakamilike mapema na kuweza kuchukua wanafunzi
wote waliofaulu ifikao Januari mwakani.
»
Serikali kusambaza mpango wa RFSP ktk mikoa mingine
SERIKALI imesema inaangalia uwezekano wa kusambaza shughuli za Mpango wa
Huduma za Kifedha Vijijini (Rural Financial Services Programme) katika mikoa
mingine ili kuwawezesha Watanzania wengi zaidi kujiongezea kipato kwa kuweka
akiba, kupata mikopo na kuitumia katika shughuli za kuichumi.
»
Lowassa asema ili kuwaendeleza wafugaji tanzania itakuwa na viwanda 10 vya kusindika nyama
WAZIRI Mkuu Edward Lowassa amesema Tanzania inatarajia kuwa na viwanda
kumi vya kusindika nyama nchini katika miaka mitatu ijayo ili kuinua kipato cha
wafugaji.
(Page 1 of 11) « Back |
1 |
2 |
3 |
4 |
5 |
Next »