Articles by this Author
(Page 1 of 2) « Back |
1 |
2 |
Next »
»
Barabara kuu iendayo mikoa ya kusini yakamilika
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo amekagua barabara kuu ya Dar-Kibiti-Lindi
hadi Mingoyo na Masasi-Mangaka yenye urefu wa Km 480.8 pamoja na Daraja la Umoja
inayotarajiwa kukamilika mwezi ujao.
»
Taarifa ya Ziara ya Rais Lindi - Ruangwa
Serikali imekikopesha Chama cha Ushirika cha Ilulu shilingi milioni 769 kwa
ajili ya ununuzi wa Korosho katika Mkoa wa Lindi.
»
Taarifa ya Ziara ya Rais Lindi - Nachingwea
Serikali inakamilisha taratibu za kuandika mradi wa maji kwa ajili ya Maji
katika miji ya Masasi na Nachingwea na tayari mazungumzo ya kutafuta mfadhili
kwa ajili ya mradi huo wa maji kutoka katika chemchemi ya Ndanda yameshaanza.
»
Mikataba ya Madini
Serikali
inafanya marekebisho katika sekta ya madini ili kupata faida na mapato zaidi kwa
ajili ya wananchi wake.
»
Salam za Kheri kwa Timu ya Yanga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za kheri kwa timu ya mpira ya
Yanga katika mchezo baina yake na timu ya El Merreikh ya Sudan utakaofanyika
Jumapili (6 May 07) katika uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.
»
Tatizo la maji safi na salama
Tatizo la maji safi na salama nchini Tanzania, hasa katika miji ya Dar-Es-salaam
na Zanzibar ni moja ya changamoto kubwa zinazoikabili serikali kwa hivyo
serikali inakaribisha wataalamu kuja kufanya tafiti zenye lengo la kuleta
ufumbuzi wa kudumu kwa swala la maji hapa Tanzania.
»
Rais Kikwete akiwa Sweden.
Sweden ni mfano wa kuigwa na nchi wahisani katika kutimiza ahadi wanazotoa za kugharamia miradi mbalimbali yenye lengo la kufanikisha malengo ya milenia ya kupunguza umaskini katika nchi zinazoendelea.
»
Nategemea sekta ya Madini kuharakisha kukuza uchumi wa Tanzania - Rais
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na viongozi wakuu wa makampuni ya madini nchini na kuwaeleza kuwa anataka sekta ya madini nchini isaidie kwa kiwango kikubwa kusukuma uchumi wa Tanzania na hatimaye kuboresha maisha ya wananchi wake.
»
Ubaguzi wa Kidini si hulka yangu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewambia viongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania kuwa si hulka yake kubagua watu kwa misingi ya kidini na hilo sio jambo lililoko katika fikira zake.
»
Tanzania na Trinidad na Tobago kushirikiana katika gesi
Viongozi wa Tanzania, Trinidad na Tobago wamekubaliana kushirikiana katika kutafiti na kuendeleza gesi hapa nchini.
(Page 1 of 2) « Back |
1 |
2 |
Next »