Mjue Jakaya Mrisho Kikwete English Version Alizaliwa Oktoba 7, mwaka 1950 katika kijiji cha Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Elimu. 1958-1961 - Shule ya Msingi Msoga 1962-1965 - Shule ya Msingi ya Kati ya Lugoba 1966-1969 - Shule Sekondari Kibaha 1970-1971 - Shule ya Sekondari Tanga 1972-1975 - Chuo Kiku cha Dar es Salaam, Shahada ya kwanza ya Uchumi 1976-1977 - Mafunzo ya Afisa wa Jeshi - Mafunzo ya Uongozi wa Jeshi Monduli 1983-1984 - Mafunzo ya Makamanda wa Jeshi Nafasi alizowahi kushika 1975-1977 - Katibu msaidizi wa TANU wa Mkoa 1977-1980 - Katibu Msaidizi wa CCM, Kisiwani Zanzibar 1980-1981 - Afisa Utumishi wa CCM makao makuu 1981-1983 - Katibu wa CCM Mkoa Tabora 1983-1986 - Mkufunzi wa Siasa katika Chuo cha uongozi wa Jeshi Monduli 1986-1988 - Katibu wa CCM Wilaya ya Nachingwea na baadaye Masasi 1988-1990 - Naibu Waziri wa Nishati na Madini 1990-1994 - Waziri wa Nishati, Madini na Maendeleo ya Maji 1994-1995 - Waziri wa Fedha 1995- 2005 - Mbunge wa Chalinze 1995-2000 - Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa 2000-2005 - Aliteuliwa tena kuuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. 2005- Hadi Sasa - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania |